Translate

Saturday, July 27, 2019

The English Master.

'hata kama ni mdomo wangu unaowaletea uoga, sio maji yatawaokoa. uchafu bado utawafuata popote watakapo peperushwa  kwa vile upepo huu ni wakuwaondoa.

Jah shall clean out the bad weeds yees. and separate them from the good, coz the day of harvest is neear!. Don Carlos.

bado hawajaona. wanahisi kujiosha ili waondoe makosa yao ya kuharibu lugha yetu na umoja. ngoja! ufunzi wa maisha unaanza na mwili tuliotoka. na asali tulioonja.

the land of milk and honey.

kabla tuondoke, be born if you will, our receptors must first be broken. placentas left in decay delay the delivery of a language useful enough to even be a token.

mara ni latin, pengine ni english, mwote ni gibrish, lakini eti ni lazima tubonge.

forced to share our mediums of communication so our energy can be stolen?!. Hence, Mitishamba will forever speak to the freedom of silence.

hawawezi lazimisha mdomo wa watu wamesimamia mti ubaki open. i speak through leaves so my roots remain cyphers to simpletons that must use monkeys to know their genesis, or what they call omen.

sisi are men. Amen. Bin adam. being human sio kitu cha kuomba. we happen from the genesis of what was, to a woman, spoken!'

MITISHAMBA ~ today was not chosen.
'leo nimajani tu'


No comments:

Post a Comment